Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe J uma H omera akielezea fursa za Uwekezaji zilizopo katika Mkoa huo wakati wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Katavi, Hafla inayofanyika katika Ukumbi wa Mpanda, Leo tarehe 3 Machi 2021. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe J uma H omera akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Katavi, Hafla inayofanyika katika Ukumbi wa Mpanda, Leo tarehe 3 Machi 2021. Waweke z aji waliohudhuria uzinduzi wa muongoz o wa uwekezaji mkoani katavi wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji katika mkoa huo wenye zaid i ya h ekta 45 ,000 . Akizungumza katika mkutano huo uliowakutanisha wadau wa uwekeaji kutoka maeneo mbalimbali, Mkuu wa mkoa huo Mhe J uma H omera amesema katika ujenzi wa viwanda mkoa umetenga hekari 245 kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda mbalimbali. “K utokana na wingi wa samaki wanaovuliwa kutoka ziwa Tanganyika wakiwemo, migebuka, kuhe, sangara pamoja na kamongo, mkoa umeten...