Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2021

DKT. CHAULA AZUNGUMZIA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA MTOTO WA KIKE.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula (katikati) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuzindua tovuti ya shirika lisilo la Serikali la Action Girls Foundation, jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula (katikati), Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara hiyo Eng. Steven Wangwe (kushoto mstari wa nyuma) Mkurugenzi wa Shirika hilo Rabia Saad (kushoto mstari wa mbele), Mkurugenzi wa Huduma za Afya na Lishe wa TAMISEMI, Dkt. Ntuli Kapologwe (wa pili kulia) na wakifurahia baada ya uzinduzi wa tovuti ya shirika lisilo la Serikali la Action Girls Foundation, jijini  Dodoma. Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Action Girls Foundation, Bi. Rabia Saad akitoa wasilisho fupi wakati wa hafla ya uzinduzi wa tovuti ya shirika hilo iliyofanyika jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Huduma za Afya na Lishe wa TAMISEMI Dkt. Ntuli Kapologwe ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya Shirika lisilo la Kiserika...

Ombi Maalum kwa Rais Samia, Katavi kuongezewa Pesa/Waipongeza Serikali k...

Uwezo wa Askari wa TANAPA wakilenga shabaha//Mazoezi ya Kikomandoo juu y...

RC Katavi azindua Soko la Mahindi,Vituo na Bei hadharani//Wakulima wadog...

Kilio na simanzi Askari alie uwawa na Hamza Jijini Dar//Uchungu wa Askar...

Silaha ya Kivita AK47 yapatikana Katavi//Watuhumiwa wa Pembe za Ndovu wa...

Salaamu za IGP Siro kwa Askari alieuwawa Katavi//Miaka 26,Wasifu wake hu...

Mkurugenzi apewa Wiki Moja//"Isizidi Wiki Moja hajaanza kukamilisha Jeng...

Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika yapokea Vifaa Tiba//Huduma ya Upasuaji...

RC Katavi Aongoza Alambee Mil.103 Ujenzi Nyumba ya Mtumishi wa Mungu, Ma...

Waziri Mkenda Afungua Msimu wa Korosho Ghafi 2021/2022

Wafanyabiashara wanaopandisha Bei Bidhaa kisa Uviko-19 waonywa//Baadhi y...

Yanga Damu Damu yachangia Damu Chupa 31//"Kweli hii ni Timu ya Wananchi,...

M/Kiti wa Yanga Taifa aacha Ujumbe mzito kwa WanaYanga Katavi//Suala la ...

WADAU WATOA MAONI MAREKEBISHO YA KANUNI ZA SHERIA YA EPOCA.

Naibu Katibu Mkuu wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akifungua Mkutano wa wadau wa huduma za mawasiliano ili kutoa maoni kwenye rasimu ya maboresho ya kanuni 4 za Sheria ya Udhibiti wa Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta jijini Dodoma. Mwakilishi kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Umoja wa Haki za Kupata Taarifa (CORI) akizungumza kwenye Mkutano wa wadau wa huduma za mawasiliano ili kutoa maoni kwenye rasimu ya maboresho ya kanuni 4 za Sheria ya Udhibiti wa Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Philip Filikunjombe akizungumza kwenye Mkutano wa wadau wa huduma za mawasiliano ili kutoa maoni kwenye rasimu ya maboresho ya kanuni 4 za Sheria ya Udhibiti wa Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta jijini Dodoma. Baadhi ya wadau wa huduma za mawasiliano wakifuatilia mkutano uliowakutanisha wadau hao kwa ajili ya kutoa maoni kwenye rasimu ya maboresho ya kanuni 4 za Sheria y...

Moto wa Waziri Mkuu "Wizara mpo Dodoma,Jengo lipo Katavi,mtajenga kweli?...

Maelekezo ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Raia wanaoishi Makazi ya Wa...

Hii hapa kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa Siku ya Kwanza Katavi//Makubwa ku...

Kilio cha Wananchi wa Vijiji vya Katambike,Kasisi na Mnyamasi//"Najua ka...

Wananchi wa Kata ya Ugala Tunaona Kama Ndoto// Cha Msingi Tunataka Kituo...

Kauli ya CCM Mkoa wa Katavi kuhusu Ziara ya Waziri Mkuu//"Ujio wake tuna...

Shangwe halijawahi tokea//Kilo 300 za Mchele zatolewa kwa Watoto Yatima/...

M/Kiti wa Yanga Dkt.Msolla awaka baada ya kuulizwa kuvunjwa Kambi huko M...

RC Mbeya awalilia Maafisa TRA ''Walikuwa Vitani wanapigania Nchi yao''

Nomaa Katavi! Mapokezi ya M/Kiti wa Timu ya Yanga Taifa//''Makombe yote ...

Chanzo Mimba za Utotoni,Kamati zawekwa kila Kata kudhibiti Mimba hizo.

MIRADI MIKUBWA ITAKAYOTEMBELEWA NA WAZIRI MKUU KATIKA ZIARA MKOANI KATAVI AGOSTI 25-27.

Eneo la Karema unapojengwa Mradi wa Bandari. Kiwanda cha Kuchakata Pamba (NGS) kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake kuhusu ujio wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.                               *******************************                                      Na Mwandishi Wetu,Site Blog. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya Siku Tatu Mkoani Katavi ambapo atatembelea,kukagua na kuzindua Miradi mbalimbali ikiwemo Bandari ya Karema sanjari na kutembelea na kuzindua Kiwanda cha Kuchakata Pamba kilichopo Halmashauri ya Wilaya Tanganyika. Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake leo Agosti 23,2021 Mkuu wa...

BAKITA SHIRIKISHENI WADAU KUBORESHA MKAKATI WA KUBIDHAISHA KISWAHILI-WAZIRI BASHUNGWA.

PICHANI Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa   katika kikao na Watendaji wa Baraza  la Kiswahili la Taifa (BAKITA).                                             *************************************************                                          Na Projestus Binamungu-MAELEZO Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa ameliagiza Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kuwashirikisha wadau wa lugha ya Kiswahili katika kuboresha Mkakati wa Taifa wa Miaka 10 wa Kubidhaisha Kiswahili ili uzinduluwe na kuanza kutekelezwa. Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo leo katika kikao na Watendaji wa Baraza hilo kilichofanyika Ofisi za BAKITA Jijini ...

Ujio wa Mhe.Waziri Mkuu Majaliwa Tarehe 25-27 na Miradi atakayo itembele...

UCSAF YAKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA SHULE YA SEKONDARI DUTWA NA NKOLOLO.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew (wa pili kulia) akikabidhiwa kompyuta na Mkuu wa Uendeshaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) (aliyevaa barakoa) wa kwanza ni Mkuu wa Wilaya ya ya Bariadi Mhe. Lupakisyo Kapange. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew na Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Lupakisyo Kapange wakikabidhi vifaa vya TEHAMA kwa Shule ya Sekondari Dutwa anayepokea ni Mwalimu wa shule hiyo Mekrina Bonifasi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew (mwenye miwani), akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nkololo alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa ajili ya shule hiyo. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nkololo wakifurahia ugeni uliofika shuleni hapo ukiongozwa na Mbunge wa Bariadi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew (hayupo ...

NEC yaainisha Mapingamizi Uchaguzi Mkuu uliopita.

Wito wa Rais kwa Wanawake//"Ni kweli kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita CCM i...

Majukumu ya Tume ya Uchaguzi//Ripoti yawasilishwa kwa Rais Uchaguzi ulio...

Kwa sauti ya upole,DC Jamila awaita Wananchi//"Hatutamvumilia yoyote".

Pinda ataka Watu kutoaga Mtu anapofariki//"Unataka mpaka ukamuone sura,y...

Mlele kukusanya zaidi ya Bil.13 Bajeti 2021/2022,Bajeti yaongezwa kwa 27...

Mlele kukusanya zaidi ya Bil.13 Bajeti 2021/2022,Bajeti yaongezwa kwa 27...

Majibu ya Maswali kuhusu Kodi za Majengo,kati ya Mmiliki wa Jengo na Mpa...

Mbogo aihoji,Halmashauri ina mpango gani kuwatafutia Wakulima Soko la Ma...

Ajali iliyosababisha Vifo vya Watu 2 papo hapo//9 akiwemo Askari wajeruh...

MFUMO WA STAKABADHI GHALANI WAWAINGIZIA WAKULIMA ZAIDI YA BILIONI 65.

Moja ya Minada ya zao la Soya kupitia Mfumo wa Stakabadhi ghalani uliofanyika eneo la Lilambo Wilayani Songea. Kushoto mwenye Suti Nyeusi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mkongogulioni Wilaya ya Namtumbo kuhusu umuhimu wa kuuza Mazao kwa mfumo wa Stakabadhi ghalani.                          ***************************************                                              Imeandikwa na Albano Midelo                                              Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma Mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye mazao umewawezesha wakulima Mkoani Ruvuma,kujipatia zaidi ya shilingi bilioni 65 kupitia m...

Hatari Soko la Madini halina Uzio wala CCTV Camera//Usalama mdogo,RC aah...

JPM kwenye hili aliona mbali//Masoko ya Madini yadhibiti udanganyifu Tak...

WAZIRI MKENDA Atoa Maagizo Mazito Kwa Bodi ya Nafaka Na Mazao Mchanganyi...

RPC Katavi kuhusu wahalifu,awaomba Viongozi wa Dini kufanya doria ya Mio...

Waziri Mkenda Ashusha Nondo Ni Kuhusu Mkakati wa Serikali na Masoko ya w...

RPC apewa rungu//"Hivi kwa nini wapotoshe kuhusu Chanjo na Sisi tupo?Tus...

TSPA Wampongeza Mhe Rais Samia Kuendelea Kuvilinda Viwanda vya Ndani

WAZIRI MKENDA Apigilia Msumari, Serikali Haitatoa Kibali cha Kuagiza Suk...

Maoni:Bora Mwanamke Mbaya mwenye tabia nzuri kuliko Mrembo mwenye tabia ...

Waziri Mkenda Atua Babati//Akagua Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge ...

Wanafunzi 1668 Vyumba vya Madarasa 5//Madiwani waungana,Meya achangia Ma...

Nondo za Afisa Mifugo kwa Waziri//Mikakati kuondoa migogoro ya Wakulima ...

Mtoto wa Miaka 7 alikimbia Gari akihisi la Chanjo//Agongwa,akimbizwa Hos...

Hii hapa Idadi ya Ng'ombe,Mbuzi,Kondoo na Njiwa//Mkoa wa Katavi wapongez...

Hiki ni Kipaji: Nyimbo ya ZUCHU Binti wa Shule afanya Remix

Kipaji Maalum: Nyimbo ya Rayvany Mwanafunzi wa S/M Msakila afanya Remix ...

Waziri ahoji nani aliye na uwezo wa Kuuza eneo?//"Utapanua kutoka wapi,p...

Msimamo wa Madiwani kuhusu chanjo ya COVID 19 (CORONA)''Utakufa Diwani'...

Wananchi watoa maoni kuhusu Chanjo ya UVICO-19//Hiki ni kiburi,hili shin...

Highlights: Magoli na tambo NaneNane Cup Kilimanjaro FC vs Tanganyika DC...

RC IBUGE ATOA MAAGIZO KWA WASAFIRISHAJI RUVUMA KUKABILIANA NA CORONA.

Baadhi ya Wadau wa Usafirishaji MjiniSongea wakiwa kwenye kikao na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kuzungumzia namna ya kukabiliana na UVIKO-19.                        ******************************************                                 Na Mwandishi Wetu-Ruvuma. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameviagiza vyombo vyote vya usafirishaji abiria yakiwemo malori,kuhakikisha wanaweka vipukusa mikono (sanitizers) ili kupunguza maambukizi ya UVIKO 19. RC Ibuge ametoa maagizo hayo wakati anafunga kikao cha wadau wa usafiri na usafirishaji kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea ambapo pia yamepitishwa maazimio ambayo yanahitaji utekelezaji wa pamoja. Maazimio na maelekezo mengine ni lazima abiria wote wavae barakoa ambapo RC Ibuge amesisitiza ni lazima kila mmoja kulinda afya yake na ni wajibu wa kumlinda mwingine dhidi ya UVIKO...

Chuo cha Afya chakabiliwa na ukosefu wa Maji,Miundombunu chakavu//Wanach...

WANANCHI KATAVI WAFURAHIA CHANJO YA UVICO-19,RC AZINDUA.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi.Mwanamvua Mrindoko akiwa tayari kupata Chanjo ya UVICO-19. Mganga Mkuu Mkoa wa Katavi Dkt.Omary Sukari akipata Chanjo ya UVICO-19. Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bw.Geaorge akipata Chanjo ya UVICO-19. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Benjamin Kuzaga akipata Chanjo ya UVICO-19.                   *************************************                     Na Mwandishi Wetu,Mpanda-Katavi. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi.Mwanamvua Mrindoko Jana Agosti 4,2021 alizindua zoezi la Uchanjaji wa Chanjo ya Jenseen (JJ) katika Mkoa huo dhidi ya UVICO-19 kwa sura mpya baada ya Watu kuitikia tofauti na ilivyodhaniwa kutokana na dhana ya kila Mtu kuhusu Chanjo hiyo. Wakishuhudia baadhi ya Wananchi waliopata Chanjo hiyo Said Amour Arfi (Mbunge mstaafu 2005/2010-2010/215) amesema haoni haja ya Watu kutopata Chanjo kwani hakuna kitakachokukinga na Ugonjwa huo zaidi ya Chanjo. Aidha,Arfi amew...

MIGOGORO YA ARDHI BADO KIZUNGUMKUTI KATAVI.

Bibi Godlia Maenge,Mtoa kero. Mkuu wa Mkoa wa Ktavi,Mhe.Mwanamvua Mrindoko akitoa maelekezo. Na Mwandishi Wetu,Mpanda-Katavi. Licha ya Serikali kuweka mifumo mizuri ya upimaji Ardhi,bado migogoro ya Ardhi ni tatizo katika Jamii hivyo ipo haja kwa Viongozi na Wataalam kutoka maofisini kukutana na Wananchi ikibidi kutenga Siku za kusikiliza kero mara kwa mara na kuzitatua kabla Mwananchi hajafanya uwekezaji na kumsababishia hasara. Hilo linadhihirika katika Kikao cha Kwanza cha Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi.Mwanamvua Mrindoko cha kusikiliza kero,kilichofanyika Agosti 4,2021 Ofisini kwake ambapo Asilimia kubwa ya waliowasilisha kero zao ilikuwa ni masuala ya Ardhi. Akiwasilisha kero yake kwa Mkuu wa Mkoa,Bibi  Godlia Constantino Maenge Mkazi wa Kichangani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi amewalalamikia Mabwana Ardhi kuchukua eneo lake analoishi na kumpa Mtu mwingine huku wakimataka ahame eneo hilo kwa kile alichoelezwa ni eneo la wazi. "Mabwana Ardhi kwenye eneo langu ninapoishi Kichanga...

Bibi agoma kuhamishwa eneo akidai amelizoea//Ataka apewe eneo la Jirani ...

Shuhuda waliopata Chanjo ya UVICO-19//Ugonjwa huu umekuwa tishio katika ...

Kama kilichomtokea DC Jokate wakati wa Chanjo//RC azindua,atoa agizo kwa...

Makumi wajitokeza uzinduzi Chanjo ya UVICO-19 Katavi//Ukweli kuhusu Mama...

Baraza la Madiwani watoa tamko kwa Rais Samia//Hakuna sababu kuiondolea ...

Kilimo cha Karanga na sababu za kutoendelea vizuri//Taasisi ya Utafiti y...

Simulizi: Pambana kesho yako inakuja//Tafuta Pesa Mwanangu Mchumba asiku...

Vurugu za Mwenyekiti,Diwani atoa tamko//TAKUKURU ingilieni kati Wananchi...