Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ( kushoto) akizungumza na Waziri wa Utalii wa Kenya, Mhe.Najib Balala mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kimataifa wa 64 wa Utalii Kanda ya Afrika uliomamalizika kufanyika nchini humo, Wa pili kulia ni Waziri wa Utalii nchin Cape Verde ambapo wamesema kuwa lugha ya Kiswahili iwe ni agenda ya kudumu katika mikutano hiyo ili Lugha ya kiswahili iweze kutumika kama lugha ya kufundishia na mawasiliano katika mikutano ya UNWTO. Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii, Zurab Pololikashvili ( wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya Viongozi wa Cape Verde wakiwa wamesimama mara wakiimba wimbo wa taifa wa taifa hili katika Mkutano wa Kimataifa wa 64 wa Utalii Kanda ya Afrika uliomamalizika kufanyika nchini humo, Wa pili kulia ni Waziri wa Utalii nchin Cape Verde, Mhe. Carlos Santos Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro (katikati) akiwa na Balozi wa Paris Ufaransa Mhe.Samwel Shelukindo pamoja na Mawaziri ...