Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2020

ASKARI POLISI AMINYWA KAMA WIZI NA SUNGUSUNGU BAADA YA KUBAMBIKIZIA KESI...

KATAVI: TAZAMA MRADI HUU WA MAJI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA, TUNAOGA MAJI YA...

SUMBAWANGA: MGOMBEA URAIS ASHIKWA UONGO,APEWA MAKAVU | MKURUGENZI AKANU...

RAHA KAMA HIZI UTAPATA WAPI,TAMASHA LA UTALII WA KITAMADUNI LAZIDI KUNO...

LIVE: MW/KITI UVCCM NA KATIBU CCM KATAVI WACHAFUKWA | CHADEMA WAKIWEKA S...

CHEKA NA HII KALI YA BROTHER K NA JAMAA YAKE MUHAYA WALICHOKIFANYA JUK...

SHOW YA SIFAELI MWABUKA NI BALAA, MKUU WA MKOA ACHEZA KIDUKU,TAMASHA LA ...

KATAVI MAMBO NI MOTOOO TAZAMA VIUNO VINAONGEA NGOMA ZA ASILI UTALII WA K...

BROTHER K NA MUHAYA WAVUNJA MBAVU KWENYE TAMASHA LA UZINDUZI WA UTALII...

NMB NA WAALIMU HATUA KWA HATUA, JENGA NYUMBA YAKO USISUBIRI UZEEKE,BENKI...

HAKUNA MAISHA KAMA HAKUNA MAJI, TUTUNZE VYANZO VYETU, TATIZO LA MAJI KAT...

WAPO WATU SIO WAZALENDO, SIO WABUNIFU,HAWANA BIDII KAZINI UNATEGEMEA CHE...

TAZAMA WANAKIJIJI WANAOFANYA KAZI KWA BIDII, MAGUFULI KASEMA LAZIMA AWALIPE

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WAAGIZWA KUYAFUFUA MABARAZA YA WAFANYAKAZI,NI...

TUKIJENGA RELI HADI CHUMBANI KWAKE NDO ATAJUA RELI IPO HAIJAKUFA,WANANCH...

KATAVI:MAMILIONI YA FEDHA YAENDELEA KUTOLEWA KWA VIKUNDI VYA AKINA MAMA,...

WAFUGAJI SONGEA WAASWA KUSAJILIWA NA KUTAMBULIKA KISHERIA

baadhi ya wafugaji katika kijiji cha Nambendo Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakimsikiliza Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri yan Wilaya ya Songea Dr.Erick Kahise Na  Jacqelen Clavery -Afisa Habari Songea DC WAFUGAJI Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wametakiwa kujisajili na kutambulikakisheria katika maeneo wanayoishi ili serikali iweze kuwahudumia kulingana mahitaji yao. Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri hiyo Dr.Erick Kahise ametoa wito huo wakati alipokutana na kufanya kikao na wafugaji katika cha Kijiji cha Nambendo kata ya Ndongosi. Dr.Kahise amesema usajili wa mifugo utawezesha serikali kutoa huduma stahiki kwa wafugaji kufuatia takwimu sahihi zilizotolewa na wafugaji wenyewe waliopo katika eneo husika. Dr.Kahise amesema takwimu zitasaidia pia kutenga maeneo ya malisho,ujenzi wa majosho,dawa za uchanjaji wa mifugo,uwekaji wa miundo mbinu na huduma nyingine za kiutalam. Dkt Kahise ameyataja magonjwa 14 ya kipaumbele ambayo serikali inataka wafugaji kutilia mk...

WATOTO 8,000 MKOANI RUVUMA KUFAIDIKA NA MAFUNZO YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la kuhudumia watu wasiojiweza na wenye Ulemavu (PADI) linatarajia kuanza kutoa mafunzo ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa watoto wa kiume wenye umri wa miaka tisa hadi 14 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma. Meneja Mradi wa PADI Gifti Kilasi amesema kupitia mradi wa USAID KIZAZI KIPYA unnaoratibiwa na PADI,utaanza kutoa mafunzo kwa watoto hao ili waweze kufahamu madhara ya ukatili wa kijinsia na waanze kupinga ukatili huo katika jamii. Kwa mujibu wa Meneja huyo, Mradi huo umeanza kutekelezwa mwaka 2017 na unatarajia kukamilika mwaka 2021 na kwamba hadi sasa wamesajili watoto 900 wa shule za Msingi na lengo ni kuwafikia watoto 8000 katika Mkoa wa Ruvuma hadi kufikia Septemba 2021. Ameongeza kuwa wamegeukia kundi hilo kwa sababu ni wahanga wa ukatili wa kijinsi,na kwamba kundi hilo lilisahaulika katika kuwapa elimu ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukilinganisha na watoto wa kike. Afisa Ustawi wa Halmashauri ya Wilaya ya songea Suzana M...

RC KUNENGE AMTAKA MKANDARASI WA UJENZI WA BARABARA YA TEGETA NYUKI KUKAMILISHA UJEZI IFIKAPO MWEZI OCTOBER, ASEMA ENDAPO ATAKAIDI "PATACHIMBIKA".

Na Mwandishi wetu, Dar Es Salaam. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Aboubakar Kunenge ametoa mwezi mmoja kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa Ujenzi wa barabaara ya Tegeta Nyuki yenye urefu wa Kilometa 1.06 kuhakikisha anakamilisha kwa wakati  na kueleza kuwa endapo atashindwa kutekeleza agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. RC Kunenge ametoa maagizo hayo wakati Wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo amesema mkandarasi huyo wa Kampuni ya CMG Construction amekuwa akisuasua kumaliza mradi licha ya kuongezewa muda ambapo amewaelekeza TARURA kumsimamia ipasavyo Mkandarasi huyo. Aidha RC Kunenge pia ametembelea na kukagua Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya ya kisasa Mbezi Louis ambayo ujenzi wake umefika 80% na inagharimu Kiasi cha Shilingi Bilioni 56 ambapo ameonyesha kuridhishwa na hatua ya ujenzi ilipofikia. Akiwa kwenye ukaguzi wa Barabara ya Madale - Wazo yenye urefu wa Km 6 inayogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 9.9, RC Kunenge amefurahishwa na juhudi za mkand...

RC HOMERA:PENGINE NYASI ZIMEOTA KWENYE MIILI YAO,SIO KWENYE UWANJA WA NDEGE

  Na Mwandishi wetu Site Tv Mpanda-Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera ametibuka nyongo baada ya Watu aliodai ni waongo kusambaza taarifa za kuwa Uwanja wa Ndege Mpanda Mkoani humo umejaa Nyasi haufanyi kazi. Akizungumza na Site Tv leo Septemba 17 alipowasili uwanjani hapo kuwapokea Watalii,Homera amekanusha taarifa hizo huku akiwajibu wanaosema hivyo kuwa ni wapotoshaji na hawakuwahi kufika katika Uwanja huo kujionea hali halisi. "Hawa wanaosema uwanja huu umeota nyasi,nionyeshe masikitiko yangu pengine nyasi zimeota kwenye Miili yao au kwenye Mwili wake. Na Sisi tuko tayari Wananchi wa Katavi kwenda kufyeka hizo Nyasi kwenye Mwili wa huyo Mtu ambaye ameongopa mchana kweupe na Watu wakiwa wanashuhudia" -RC Homera,Katavi. Baadhi ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege Mpanda wakielekea kupanda Ndege kwa ajili ya Safari  Aidha,Homera amesema hivi sasa katika uwanja huo vimefungwa vifaa vya kisasa ambavyo vitaziwezesha Ndege kutua muda wowote hata kama ni msimu wa Mvua. K...

RC AMJIBU ALIYESEMA UWANJA WA NDEGE UNA NYASI WANALISHWA MBUZI NA NG'OMB...

WABABE WANAOWASUMBUA WANANCHI WADAKWA NA JESHI LA POLISI, WAMEKOMAA USO,...

WANANCHI KATAVI WALIA NA MWENYEKITI WA KIJIJI KWA KUWACHOMEA NYUMBA/KAMB...

MALIKIA GROUP MPANDA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UJENZI WA BARABARA,RELI NA MELI

KATAVI: TAZAMA SHANGWE LA WAKULIMA NA WAFUGAJI BAADA YA KUTENGEWA MAENEO...

KATAVI: UGAWAJI WA VITALU KWAAJILI YA WAFUGAJI WAANZA KWA KASI, SERIKALI...

UFUNGAJI WA TAA ZA BARABARANI WALETA SURA MPYA MKOANI KATAVI | WANANCHI ...

"KUNA MAISHA BAADA YA UTUMISHI WA UMMA,ANZA KUJITENGENEZEA MAZINGIRA MAZ...

AJALI : GARI YA TANAPA YAGONGANA NA PIKIPIKI NA KUUWA WATU 3 MMOJA APONE...

KATAVI:TAZAMA SHOW KALI YA BABU SEYA NA MWANAE,WAMWIMBIA RAIS MAGUFULI ...

UZINDUZI WA KAMPENI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA...

KATAVI:TAZAMA UZINDUZI WA KAMPENI NAFASI YA UBUNGE KUPITIA CHAMA CHA CH...

ZOEZI LA UCHAGUZI 2020 VYOMBO VYA USALAMA VIPO KAZINI, ATAKAYE KWENDA KI...

RAIS ATOA GARI JIPYA AKABIDHIWA OCD KUWASAKA WALE WOTE WALIOJIFICHA KWEN...

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA WA KATAVI YATOA VYETI KWA ASKARI WAL...

ATAKAYELETA FYOKOFYOKO KUSHUKA NA RC JUMLA JUMLA | MGOGORO WAKULIMA NA W...

FUNDI AWEKA WAZI KUWA KIPINDI CHA MASIKA WANAKUFA WENGI NA WATEJA KUMIMI...

KATAVI:ANGALIA MGOMBEA UDIWANI ACT WAZALENDO AHIDI KUJENGA BARABARA MTA...