Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2021

Dhana potofu,Mtoto asipoolewa Wazazi wanaenda kwa Mganga asafishwe Nyota...

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AAGIZA VYANZO VYA MAJI SONGEA KULINDWA.

                             ********************************                                            Na,Mwandishi Wetu-Songea . Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua vyanzo vya maji kwenye miradi ya maji Ndongosi na Liula wilayani Songea na kuagiza vyanzo hivyo kulindwa ili viwe endelevu. Brigedia Jenerali Ibuge amesikitishwa na uharibifu wa vyanzo hivyo unaoendelea kufanywa na wananchi kwa kulima mazao na shughuli nyingine za kibinadamu hali inayosababisha vyanzo hivyo kuwa katika hatari ya kutoweka. “Naagiza kila kijiji kuitisha mkutano mkuu wa kijiji,kati ya ajenda zake kuu,iwe ni namna gani ya kukabiliana na tabia hii ya kuharibu vyanzo vya maji,nimeona miti inavyoangushwa kama haina mwenyewe’’ ,alisema RC Ibuge. Hata hivyo alisema serikali inapen...

Dhambi,Unyanyasaji ulipoanzia//Sababu Mwanamke akiolewa anatumia Jina la...

Wanawawake na Mabinti waandamana kupinga ukatili//Mimba 8368 za Utotoni ...

Waziri Ummy apiga STOP uhamisho wa Watumishi "Halmashauri ina Walimu 200...

Wizara ya Nchi-OR,Kazi na Uwekezaji yatoa Mafunzo kwa Watumishi wa Umma ...

"Kitabu kitasaidia kutoa maamuzi kuzika baadhi ya Mila,Desturi na Imani ...

Wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani,Madereva wapewa ujumbe//Vyanzo vya ...

Malori yanaswa yakiwa na Nguzo za Umeme na Abiria//Jeshi la Polisi kuwaf...

Ufugaji Nyuki unalipa,Wananchi wachangamkia fursa kujikwamua Kiuchumi//B...

Mbunge na Diwani watofautiana njia,Mmoja Njia Fupi mwingine Njia Ndefu//...

SERIKALI IMETOA WITO KWA WASANII NCHINI KUENDELEA KUSAJILI KAZI ZAO KATIKA MAMLAKA ZINAZO HUSIKA ILI ZILINDWE KISHERIA.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akijibu maswali ya baadhi ya wabunge wakati wa kikao kati ya watendaji wa Wizara yake na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma, na Maendeleo ya Jamii leo Oktoba 25, 2021 Bungeni jijini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma, na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Aloyce  Kamamba akisisitiza jambo wakati wa kikao baina ya kamati hiyo na watendaji wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Oktoba 25, 2021 Bungeni jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizira ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma, na Maendeleo ya Jamii wakati wa kikao baina ya kamati hiyo na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Oktoba 25, 2021 Bungeni jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma, na Maendeleo ya Jamii wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa kikao baina ya kamati hiyo na watendaji wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Oktoba 25, 202...

Wananchi waungana na UDESO kupinga CHAGULAGA//"Kama unataka Mchumba nend...

Wavunja Maduka waletwe "Kuanzia leo,tunakazi ya kuwasaka wavunja Maduka ...

Chaka kwa Chaka, Kijiji kwa Kijiji Aggrey Mwanri/Wafunguka ya Moyoni-Wan...

Mzee wa Sukuma ndani Akitoa Elimu ya Pamba//Chaji Betri//Mzigo

Tazama Chuo Kilichoanzishwa Mahususi kwa Ajiri ya Wakimbizi na Kubadilis...

Makasiriko,Mzee adai Wanaume kuvaa Sketi kama Wanawake wanavaa Suruali//...

Wazee kuomba nafasi ya Ubunge Bungeni, Macho Mekundu ni Uchawi// Utandaw...

Mabinti kutapeli Watu wazima(Wazee Wastaafu) Gari bovu linavutwa na Gari...

Aggrey Mwanri afunguka baada ya Semina ya Elimu ya Pamba ''Hatuta kung'u...

Rais Samia atuma salaam za pole kufuatia maafa Katavi//Hasara,Nyumba zae...

Namna mila zinavyowatesa Watoto wa Kike//Akikimbizwa na kukamatwa anakuw...

Chancho mpya ya SINOPHARM yawasili Katavi,Dozi Mbili//Utofauti wake na J...

Komesha ya Ukatili,Mimba kwa Watoto//Mikakati hii hapa,Wenyeviti wajipan...

Aggrey Mwanri awaapisha Wananchi Katavi "Nimejikoki;pyepyepyee,Sukuma nd...

Nilinde na mkakati kulinda Mazingira//Miche 160 ya Matunda yapandwa "uwe...

Viwanja vinavyovutia vyawavuta Madiwani//Waacha maagizo kufikia Novemba ...

Hapana hii kwa Halmashauri zote//Katavi kupokea Bilioni 11.8,Rais Samia ...

RC Mrindoko achefukwa,awataka RMO na DMO kufika Ofisni kwake kutoa ufafa...

Madiwani Manispaa ya Mpanda wakagua Miradi//Mradi huu haijawahi tokea kw...

Viongozi wa Amcos Matumbo Joto, Waliokula hela za Wakulima kuzitapika nd...

Aggrey Mwanri Awavunja mbavu Katavi, RC Mwanamvua ashindwa kujizuia

Ufafanuzi hali ya usalama Kanoge//Ukweli Watendaji wa Serikali wanatumia...

RC Mbeya achukizwa na utendaji kazi Watumishi TRA mpaka wa Tanzania na M...

Wakamatwa kwa kuhujumu Bandari ya Karema//Kwa uchungu,RC ataka wahusika ...

RC MKOA WA RUVUMA AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA MBOLEA DUNIANI.

KUSHOTO KATIKATI NI MKUU WA MKOA WA RUVUMA BRIGEDIA JENERALI WILBERT IBUGE AKIKAGUA MOJA KATI YA VIBANDA 41 VYA MAONESHO YA MAADHIMISHO SIKU YA MBOLEA DUNIANI AMBAY KITAIFA MWAKA HUU  YANAFANYIKA UWANJA WA MAJIMAJI MJINI SONGEA KUANZIA OKTOBA 11 HADI 13. KUSHOTO NI MKUU WA MKOA WA RUVUMA BRIGEDIA JENERALI WILBERT IBUGE AKISALIMIANA NA  WAKUU WA WILAYA ZA MKOA WA RUVUMA MARA BAADA YA  KUINGIA KWENYE UWANJA WA MAJIMAJI MJINI SONGEA KWA AJILI YA KUZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA MBOLEA DUNIANI.                     ************************************************                                       Na Mwandishi Wetu,Ruvuma. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge Jana Oktoba 11,2021 alizindua maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani yaliyofanyika katika Uwanja wa Majimaji Mjini Songea. K...

Diamond Platnamz aonyesha kufuru,ni baada ya Alikiba kutoa Album//Awapon...

Licha ya Mawaziri zaidi ya 10 kufika Kanoge,Mgogoro huu bado kizungumkuti.

Tukio Wananchi kupigwa lamuibua DC,apiga marufuku//Aliyepigwa afunguka//...

Jumuiya ya watumia Maji Bonde dogo Mto Msadya wapewa Pikipik//Kutatua ke...

Vituko vya Wazee "Wanataka Wazee tufe?"//Wananikwepa hela nisipate,DC Ja...

Mzee wa Miaka 60 auvunjwa Mguu na Migambo//Afungwa kamba na kuburuzwa//W...

Mzazi chukua hili pindi Binti yako anapovunja Ungo//Hedhi sio jambo la a...

Wazazi watupiwa lawama Mimba za Utotoni//Wafunguka,waiomba Jamii kuwaach...

TCB yatoa Bando 15 za Bati kusaidia ujenzi wa Vyumba 2 vya Madarasa Shul...

Acheni kukaa vijiwe vya Kahawa na Al Kasusi,fanyeni Kazi.

Waislam wapewa makavu,acheni uvivu fanyeni kazi hata Mtume alifanya kazi.

Tazama Ofisi za BAKWATA Mkoani Katavi zilivyozinduliwa na Mufti.

M/Kiti CCM,Mbunge na DC Jamila walivyomkaribisha Mufti//"Kijana wako nip...

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania astaajabu Ushirikiano wa Waislam na Wak...

Tukio la kusikitisha,Mtoto wa Miaka 3 akutwa amefariki Dunia katika Kisi...

Ratiba ziara ya Mufti Mkuu wa Tanzania Mkoani Katavi na Miradi atakayoiz...

Wananchi wasisitizwa kujitokeza kupata Chanjo ya UVIKO-19 kwa ajili ya k...

ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE VIKAO VYA HALMASHAURI.

Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mateus, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika semina iliyofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula akizungumza wakati wa semina kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika kwa wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini iliyofanyika jijini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Festo Dugange akizungumza wakati wa semina kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika kwa wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini iliyofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akizungumza wakati wa semina kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Pos...

"CHAGULAGA" ilivyo tishio kwa Watoto wa Kike//Furaha ya Wazazi kuona Wan...

Ombi la CCM kwa Halmashauri kunusuru Masoko//MUWASA waagizwa kupeleka Ma...

RC Mrindoko apiga marufuku katika hili kwa Wafanyabiashara//"Hapana kati...