Mkoa wa Katavi wakamata wahalifu wa ujangili 17 wa mbao na Nyamapori Raia wa Burundi na silaha 50 aina ya SGM 13,G3 idadi 3,Rifle 1 na Gobole 33 na kubaini mafundi wanao tengeneza Silaha aina ya Gobole eneo la Katumba na mishamo katika makazi ya Raia wapya kutoka Burundi waliopewa uraia na mbali na silaha lisasi 28 zimekamatwa, kamba za kutegea wanyama zaidi ya 20,
Akizungumza mkuu wa mkoa wa Katavi Comrade Juma Zuberi Homera kwamba, oparesheni hiyo iliyodumu Siku 21 ilijumuisha vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na taskforce ya mkoa huo.
Author : Mkutubi26
Publisher : Pizo
Comments
Post a Comment