Skip to main content

Posts

Katavi Vumbi Kutimka''Chanjo ni Hiari/RMO,DMO Tegemeeni kupokea wateja w...

Moo ajiengua Uenyekiti Simba SC//Ataja mrithi wake,sababu za Yeye kuachi...

MKOA WA KATAVI KUANZISHA HUDUMA MKOBA YA CHANJO.

Picha ya Kwanza ni Mwandishi wa Habari wa TBC Mkoani Katavi Bw.Hoseya Cheyo na ya Pili ni Mwandishi wa Habari kutoka Kituo cha Redio Pamoja Fm Mkoani Katavi Bw.Paul Mathias wakipata Chanjo kwa hiari ya UVIKO-19 baada ya kupata Elimu ya kutosha kuhusu Chanjo hiyo. Picha ni baadhi ya Waandishi wa Habari Mkoani Katavi wakiwa na Wataalamu (Waliovaa nguo Nyeusi) wakielekezwa jambo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi akizungumza na Waandishi wa Habari Mkoani humo Ofisini kwake kuhusu mkakati wa kuanza huduma Mkoba ya Chanjo ya UVIKO-19. Mwakilishi kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO)  Boniface Makelemo akizungumza jambo kwa Waandishi wa Habari. Daktari kutoka Wizara ya TAMISEMI Dkt.Mary Shadrack akifafanua jambo.                                    **********************************************                   ...

MFUKO WA NHIF KUJA NA MKAKATI WA BIMA KWA WOTE.

Pichani ni Waandishi wa Habari wakifatilia Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya NHIF katika Ukumbi wa  LAPF Jijini Dodoma Septemba 24,2021. Mkurungenzi wa rasilimali na Utawala NHIF Bw.Charles Lengeju akizungumza jambo wakati akifungua Mkutano na Waandishi wa Habari Nchini katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya NHIF. Mkurungenzi wa Huduma za Uanachama wa NHIF Bw.Christopher Mapunda akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari Nchini katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya NHIF.                          *********************************                                         Na Aidan Felson,Site Tv-Katavi Katika kuhakikisha Afya za Watanzania zina imarika,Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekusudia kupeleka muswada Bungeni ili itungwe Sheria ya Bima ya Afya kwa wote. Akifungua Mkutano wa Waandi...

RC Katavi akabidhi Mwenge wa Uhuru Kigoma// Ona Staili hii yakipekee

Kijana Mlemavu Amvunja Mbavu Kiongozi wa Mbio za Mwenge, baada ya kufika...

Eng. na Mkandarasi Waminywa ''Longolongo hatutaki/Leo Usiku na Mchana''