Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2022

Taarifa ya Yanga Michezo inayofuata "Popote Yanga inapocheza lazima Viwa...

Wananchi Tanganyika waiomba Serikali wavune Mazao yao//"Tunaomba tuvune ...

Mbunge Jimbo la Katavi awalilia Vijana dhidi ya VVU// Mjini wanauliza Co...

Watumishi waaswa kutokuwa kikwazo katika shughuli za Maendeleo//"Migogor...

Diwani aibua hoja Polisi Mlele kukosa vitendeakazi//DC "wahalifu hawako ...

Waandishi wa Habari Arusha wakamatwa na Jeshi la Polisi wakitekeleza maj...

Kuku kuning'inia chini juu kwenye tenga ni kosa//Wafugaji wakumbushwa sh...

Vituko vya Bongozozo mbele ya Rais Mwinyi "Hii ndo fujo isiyoumiza,Mzee anaup...

Serikali kuja na mikakati mizito Sekta ya Ufugaji//Wafugaji kusaidiwa,Ma...

Utafiti wa Chanjo 14 za Mifugo unaendelea Nchini ili kupunguza ghalama z...

WAKULIMA NZEGA WAPO TAYARI KWA UJENZI NA UKARABATI WA MRADI WA UMWAGILIAJI IDUDUMO.

Kulia, Mhandisi Mwinchuma Tengeneza akimkabidhi kablasha la eneo la kazi ya Ujenzi na Ukarabati wa miundombinu, katika skimu ya kilimo cha Umwagiliaji Idudumo mwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi ya Explicit Main Constructors Ltd Bw. Basil Clement (kushoto). Picha Ikionesha eneo la Utoro wa Maji katika Bwawa la Idudumo ambalo litavyunjwa na kunjengwa upya. Wa pili kutoka kulia, Meneja Mradi wa Ujenzi na Ukarabati wa Skimu ya Umwagiliaji Idudumo Bw. Juma Kibori akiwaonesha wawakilishi wa viongozi wa Halmashauri ya Nzega mji na wataalam ramani ya ujenzi na ukarabati wa neo la mradi. Picha ikionesha sehemu ya eneo la Bwawa Idudumo, ambalo litafanyiwa ukarabati katika awamu nyingine ya mradi.                     ************************************************                                             ...

Waziri wa (TAMISEMI) aziagiza Halmashauri zote Nchini kuwalipa posho zao...

Maziwa yaliyokuwa yakimwagwa yapata suluhu,Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo ...

Mifugo sasa kutambuliwa kwa kuvalishwa Hereni//Utaratibu mzima watajwa.

Mwili wa Askari wa TAWA aliye uwawa na Majangili Katavi aagwa/Tamko kwa ...

Mamlaka ya Bandari Tanzania yatii agizo la RC,waeleza sababu ucheleweshw...

Mzozo wa Dereva Bajaj na Mamlaka Katavi wamalizwa//Serikali yatoa agizo ...

Agape Kwaya na Side Teacher wanogesha uzinduzi Anuani na Makazi,Sensa ya...

Utacheka upasuke Jamaa atoa darasa mbele ya RC,Burudani mwanzo mwisho.

Ujenzi wa Daraja la Ngubuswi-Kasyabone hali tete//RC aingilia kati kwa ...

UNHCR YAKABIDHI MISAADA KWA MAHABUSU MPANDA.

Na. Swaum  Katambo Site Tv - Mpanda Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR leo Feb 18 limekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali katika Gereza la Mahabusu Mpanda kama sehemu ya wadau muhimu katika kuwahudumia watanzania na wasio watanzania (wakimbizi). Akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Afisa Hifadhi mwandamizi Bw.Peter Muriuki kutoka Shirika la UNHCR Kigoma amesema wanatambua kwamba Magereza ni mdau muhimu sana kwa shughuli za haki, usalama na kurekebisha tabia. "Mara kwa mara wakimbizi wamejikuta katika changamoto za kuhukumiwa, na Shirika la UNHCR linakuja kuwafuata na kuwatafuta magerezani kuwajulia hali waliyonayo huku, na kama wako na mahitaji ambayo tunaweza kuyatimiza tukishirikiana na Idara ya magereza" Alisema Bw.Muriuki. Bw.Peter Muriuki Afisa Hifadhi mwandamizi Shirika la UNHCR Kigoma Hata Hivyo ameongeza kuwa wanatambua kuwa magereza wanatoa huduma iliyo na usawa kwa mahabusu walio wazawa na wageni ambao ni wakimbizi hivyo mchango wao ...

Ajabu,afukua Kaburi baada ya kusikia sauti ya marehemu//Ajinyonga,akuta ...

Watu watatu wafaruki Dunia baada ya kuangukiwa na Nyumba//Chanzo chaelezwa.

Tulia Trust yamwaga Mamilioni kwa Dereva Bodaboda na Bajaji//"Maisha yan...

Umeme wa REA Mbeya kizungumkuti "hali ni tete,Wananchi hawaoni Umeme hii...

Hatimae Waliokatishwa masomo kwa kupata ujauzito warejea Shuleni//Serika...

Kinachoendelea Hifadhi ya Ngorongoro,Serikali yaiagiza Wizara ya Maliasi...

Dereva Bodaboda wafunga Barabara wakishinikiza Mamlaka kuweka alama za B...

Utani wa Waziri Mkuu kwa Zuhura Yunus baada ya kuanza kazi rasmi "Dada Y...

Waziri Mchengerwa: Haiwezekani Miaka 60 hatuna Biti ambayo inatutambulis...

Maagizo mazito//Usafi,uvamizi Misitu,Wazazi ambao hawajawapeleka Watoto ...

Mvusha Wanafunzi anaswa,aeleza msukumo wake "Watoto walikuwa wanagongwa ...

Mzee Mpili azua mapya,"Sisi tuko kamili,magoli yao sio magoli ya uhakika...

Ishirini na Mbili mbaroni kwa tuhuma za mauaji,16 Mahakamani//Yumo aliye...

"Rais amewaletea Milioni 600,Ni sumu kali,hatutamchekea Nyani anakula Ma...

Kibarua chaota nyasi,Fedha za UVIKO-19 za ondoka na Vichwa//Rais Samia a...

Mto hatari watengewa Bil 4.9 kujenga Daraja//Ajira,wezi wa vifaa kukiona...

Neema kwa wakulima wa Alizeti Mpimbwe,Milioni 150 zatolewa//"Msiuze Aliz...