Skip to main content

Posts

Dhana potofu,Mtoto asipoolewa Wazazi wanaenda kwa Mganga asafishwe Nyota...

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AAGIZA VYANZO VYA MAJI SONGEA KULINDWA.

                             ********************************                                            Na,Mwandishi Wetu-Songea . Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua vyanzo vya maji kwenye miradi ya maji Ndongosi na Liula wilayani Songea na kuagiza vyanzo hivyo kulindwa ili viwe endelevu. Brigedia Jenerali Ibuge amesikitishwa na uharibifu wa vyanzo hivyo unaoendelea kufanywa na wananchi kwa kulima mazao na shughuli nyingine za kibinadamu hali inayosababisha vyanzo hivyo kuwa katika hatari ya kutoweka. “Naagiza kila kijiji kuitisha mkutano mkuu wa kijiji,kati ya ajenda zake kuu,iwe ni namna gani ya kukabiliana na tabia hii ya kuharibu vyanzo vya maji,nimeona miti inavyoangushwa kama haina mwenyewe’’ ,alisema RC Ibuge. Hata hivyo alisema serikali inapen...

Dhambi,Unyanyasaji ulipoanzia//Sababu Mwanamke akiolewa anatumia Jina la...

Wanawawake na Mabinti waandamana kupinga ukatili//Mimba 8368 za Utotoni ...

Waziri Ummy apiga STOP uhamisho wa Watumishi "Halmashauri ina Walimu 200...

Wizara ya Nchi-OR,Kazi na Uwekezaji yatoa Mafunzo kwa Watumishi wa Umma ...

"Kitabu kitasaidia kutoa maamuzi kuzika baadhi ya Mila,Desturi na Imani ...