Skip to main content

CRDB Bank Yazinduwa Mfumo Bora wa Kupokea Maoni kwa SMS Usumbufu kwa Wat...

Comments

Popular posts from this blog

Mkuu wa Mkoa wa Katavi akibidhiwa Ofisi,aelezwa Miradi ya kusimamia.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi,Mwanamvua Hoza Mrindoko wa kwanza Kushoto akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera wakati wa makabidhiano ya Ofisi. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi Beda Katani. Wakuu wa Wilaya,Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda. Na Mwandishi Wetu,Site Tv Mapema leo Mei 25,2021 Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko,amekabidhiwa Ofisi na aliye kuwa Mkuu wa Mkoa huo Juma Zuberi Homera aliye hamishiwa Mkoani Mbeya kuwa Mkuu wa Mkoa. Katika makabidhiano hayo,Homera amemtajia Mkuu wa Mkoa wa Katavi miradi ambayo inatakiwa kusimamiwa hadi ikamilike ni pamoja na Bandari ya Karema,Hosipitali ya Rufaa Mkoa,Kiwanda cha Nguo,Jengo la Utawala pamoja na Umeme wa Gridi ya Taifa. Aidha,amesema Katavi ni Nyumbani hivyo atatoa ushirikiano kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi huku akiwakaribisha Viongozi na Wananchi kwa ujumla katika Mkoa wa Mbeya. "Kuna hili la Gridi ya Taifa ambalo linaendelea,kuna Kiwan...

MKOPO ULIVYOPUNGUZA UKALI WA MAISHA KUTOKA MLO MMOJA HADI MITATU.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda,Mhe.Haidary Sumry akizungumza na wanak ikundi cha Watu wenye ulemavu (Tujiendeleze).                                         ******************************************************** "Mkopo tuliopata kutoka Halmashauri, umetuwezesha kupunguza ukali wa maisha ambapo kwasasa familia zetu zina uwezo wa kula Milo mitatu kwa siku ukilinganisha na hapo awali"  Na.Swaum Katambo Mpanda-Katavi Ni wajibu uliowekwa na sheria kwa Serikali za Mitaa kutenga asilimia kumi ya mapato yanayokusanywa kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya mapato kwa ajili ya kutoa mikopo kwa vikundi vilivyosajiliwa vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu. Mwongozo huu unaelezea kwa lugha nyepesi kanuni zilizowekwa chini ya sheria ya fedha ya serikali za mitaa chini ya kifungu cha 37 ambazo zinajulikana kama kanuni za utoaji na usimamizi wa mikopo kwa vikundi vya wana...

Ajira Mpya Wakaribishwa Mlele, Full Kula Bata/Makubwa yaja