Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2020

HII SASA KALI,ONA JINSI RC KATAVI ALIVYOWAFOKEA KINA BABA WANAONYONYA MA...

TAKUKURU KATAVI YAREJESHA FURAHA KWA HALMASHAURI, WAGONJWA,WAKULIMA MAFUNDI NA VIBARUA, ZAIDI YA TSH MIL 157,000,000/- ZAOKOLEWA

  Na.   Swaum Katambo Mpanda-Katavi TAKUKURU Mkoa wa Katavi inafanya uchunguzi kwa wahudumu wa Afya watatu katika Kituo cha Afya cha Ilembo kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kwa makosa ya wizi wa dawa za serikali na kuomba kupokea Rushwa kutoka kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika kituo hicho cha Afya. Akitoa taarifa mbele ya waandishi wa Habari leo Disemba 19  Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi Ndg.Christopher Nakua amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Hussein Hassan Kimaro,Charles Daniel na Isack Muhigi. Hata hivyo amebainisha kuwa Mtuhumiwa  Hussein Hassan Kimaro ambaye ni Muuguzi kwenye wodi ya wazazi katika kituo cha Afya Ilembo mnamo Desemba 14,2020 alikamatwa na begi likiwa na dawa mbalimbali za binadamu zikiwemo za Serikali na nyinginezo ambazo ilibainika kuwa alikuwa akiwauzia wagonjwa kwenye wodi ya wazazi hasa nyakati za usiku na baada ya kukamatwa alihojiwa na kukiri kutenda kosa hilo lakini alikimbia kwa lengo la kutaka k...

WABABA WASIOPIMA VVU KWA KUTEGEMEA WAKE ZAO WAPEWA ZA USO KWENYE MAADHIM...