Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2020

KATAVI: MAFANIKIO KWA WAFANYABIASHARA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5 YA RAIS...

JB NA SANAA YA UCHORAJI, HIZI NI BAADHI YA KAZI ANAZOZIFANYA NA KAWEKA W...

AJIRA ZAIDI YA 500 KUTOKA MGODI WA MADINI KATAVI KUTOLEWA,MAKINIKIA KUAN...

RC KATAVI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI ZOTE KUFIKIA TAREHE 15 ZIW...

KATAVI: WAHAMIAJI HARAMU WADAKWA, WARUDI KWENYE NCHI YAO

MGANGA MKUU KATAVI AKUSUDIA KUANDIKIA BARUA WATUMISHI KATAVI KUPATIWA ELIMU YA HUDUMA YA KWANZA

 Na Swaum Katambo, Mpanda-Katavi Jumla ya Wahitimu 40 wa Mafunzo ya Huduma ya kwanza yaliyotolewa na Chama cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametunukiwa Vyeti baada kushiriki Mafunzo ya takribani Siku 10 yaliyoanza Oktoba 5 na kumalizika Oktoba 16 katika Ukumbi wa Serena uliopo Kata ya Makanyagio. Akihitimisha Mafunzo hayo katika hafla iliyofanyika kwa Wahitimu wa Mafunzo hayo Mgeni rasmi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Omary Sukari,amepongeza hatua ya Red Cross Tanzania kuona umuhimu wa kutoa mafunzo hayo kwa Wanakatavi kwani kabla ya mafunzo hayo Mkoa mzima ulikuwa na Watu Watatu tu waliopata mafunzo hayo kiusahihi huku akiahidi kuwa Sekta ya Afya ipo tayari kutoa vifaa maalum vya huduma ya kwanza kwa shirika la red Cross Mkoani Katavi kutokana na uwepo wa uhaba wa Vifaa. Dkt. Sukari pia ameahidi kuandika barua zitakazozifikia Taasisi zote zilizopo Mkoani humo ili kuhakikisha Elimu ya Huduma ya kwanza (Red Cross) inatolewa kwa Wat...

RMO KATAVI AKUSUDIA KUANDIKIA BARUA WATUMISHI | RED CROSS YAGAWA VYETI K...

MASHINE MAALUM 'MKOMBOZI' KUOKOA VIFO VYA WATOTO NJITI, WILAYA YA MLELE ...

HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ATAKUMBUKWA KWA HAYA MANENO YAKE

KATAVI: RC HOMERA ATEMBELEA MAMLAKA YA HALI YA HEWA | SKIMU ZA UMWAGILIA...

ASLAY, BEKA NA BELA WAWASHA MOTO KATAVI FULL SHANGWE CHEKI HII MIKONO JUU

DOKII NA TEAM YAKE YAWEKA REKODI KATAVI KWA SHOW KALI NA YAKIJANJA HAWA...

KATAVI: MAMA SAMIA SULUHU ANADI SERA ZITAKAZO TEKELEZWA NA CCM,MAGOTI C...

WANAWAKE ACHENI MICHEPUKO, UKIHISI MWENZA WAKO ANATABIA HIYO KUNA MAMBO ...

MWENYEKITI WA BOARD YA TPB BANK ASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA TAWI...

SAMIA SULUHU AFURAHISHWA NA MAPOKEZI YA CHAMA PINZANI AKIWA NJIANI NA KU...

WAGOMBEA URAIS,UBUNGE,UDIWANI NA WANANCHI WOTE,TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI...

MWANASHERIA WA SERIKALI ATIWA MBARONI KWA KUSABABISHA KIFO