Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula (katikati) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuzindua tovuti ya shirika lisilo la Serikali la Action Girls Foundation, jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula (katikati), Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara hiyo Eng. Steven Wangwe (kushoto mstari wa nyuma) Mkurugenzi wa Shirika hilo Rabia Saad (kushoto mstari wa mbele), Mkurugenzi wa Huduma za Afya na Lishe wa TAMISEMI, Dkt. Ntuli Kapologwe (wa pili kulia) na wakifurahia baada ya uzinduzi wa tovuti ya shirika lisilo la Serikali la Action Girls Foundation, jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Action Girls Foundation, Bi. Rabia Saad akitoa wasilisho fupi wakati wa hafla ya uzinduzi wa tovuti ya shirika hilo iliyofanyika jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Huduma za Afya na Lishe wa TAMISEMI Dkt. Ntuli Kapologwe ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya Shirika lisilo la Kiserika...
Karibu kwenye Blog Yetu na tupo tayari kukuhabarisha kwa Habari na Matukio mbalimbali kwa Weledi Masaa 24 popote ulipo,kama una taarifa au unataka kutangaza na Sisi tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa huu. Pia tunapatikana YouTube @sitetvtz,Instagram,Twitter na Facebook @sitetvtz. Ofisi zetu zipo Jengo la Mpanda Plaza Ghorofa ya 3,Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi.